TANZIA Gabriel Kandonga afariki dunia kwa ajali ya gari

Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.


Chanzo: ITV

Apumzike kwa amani Gabriel Kandonga.

Ametangulia nasi tu nyuma yake.
 
Ni kama ilivyo kuwa eneo la namba one zamani. Tatizo ni mwendo tuu ...

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwa wanawahi vifo hao
Kila kukicha watu wanapoteza uhai lakini hakuna anaejali
 
Kha!kha!kha!,[emoji134][emoji134][emoji134], Hatari Sana.
 
Duh hivi karibuni mwandishi mwingine alifariki kwa ajali ya gari huko Kagera, haya magari yanamaliza nguvu kazi!
 
Gabriel kandonga alitoka kuzika ile familia ya watu sita waliofariki pamoja walichelewa sana kuzika kwenye saa 12 hivi jioni so wakati anarudi kutoka mazishini ndo akapata ajali R.I.P kandonga
 
Siyo kweli kuwa ajali hazikuwapo.Zilikuwapo ila hazikuwa zinatangazwa kwa sababu ya kumuogopa Kayafa. Maana hakutaka kusikia habari asizozipenda, hivyo wahusika, ma RPC, walizuia zisitoke ili wabaki ktk nafasi zao.
 
Siyo kweli kuwa ajali hazikuwapo.Zilikuwapo ila hazikuwa zinatangazwa kwa sababu ya kumuogopa Kayafa. Maana hakutaka kusikia habari asizozipenda, hivyo wahusika, ma RPC, walizuia zisitoke ili wabaki ktk nafasi zao.
Hivi hizi pumba za kusema watu walikuwa wanaogopa kutangaza ajali mmezitoa wapi? Hebu acheni kujitoa ufahamu. Ajali zilikuwepo na ziliripotiwa, watu wanasema hazikuwa nyingi sana kwasababu askari walikuwa wanafanya kazi kwa kuogopa kuwajibishwa. Labda tuwaulize wanaosema sasa hivi zimekuwa nyingi watupatie takwimu miaka hio zilivyokuwa kidogo na sasa hivi tuthibitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…