TANZIA Gabriel Kandonga afariki dunia kwa ajali ya gari

Itakua spidi tu..
Mie dereva kusema kweli kujizuia chombo itembee mdogo mdogo wakati mashine inaita kazi sana kuna saa unaingi atu uchizi unaona mtu kakupita vuup..
Unawazaa unaona ufala ngoja ninyoshe mguu sa ingine tunafika sa ingine ndio hvi tena
 
Achana na mwendokasi,mtatumaliza.
 
Jukumu la kulinda usalama dhidi ya madereva wahuni ni la abiria husika na sio mtu mungine .

Poleni wafiwa
Ni kweli,lkn kuna wakati madereva wanakuwa na kiburi Sana.
 
Gabriel kandonga alitoka kuzika ile familia ya watu sita waliofariki pamoja walichelewa sana kuzika kwenye saa 12 hivi jioni so wakati anarudi kutoka mazishini ndo akapata ajali R.I.P kandonga
Mmmhh basi hiyo familia ina tatizo/cursed, maana hata hao waliokufa 5 walitoka kuzika na huyu nae katoka kuzika familia hiyo hiyo.
 
Gabriel kandonga alitoka kuzika ile familia ya watu sita waliofariki pamoja walichelewa sana kuzika kwenye saa 12 hivi jioni so wakati anarudi kutoka mazishini ndo akapata ajali R.I.P kandonga
Hapo lazima kuna mkono wa Mtu... Ngoja Mshana aje adadavue hapa.

cc: Mshana.
 
Apumzike kwa Amani Gabriel Kandonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…