Asilimia kubwa ya ajali ni madereva wa mabasi na magari binafsi yaliyobeba abiria , jaribu kufikiria sio kubishabisha vitu Vipo wazi kwa takwimu.Acha kukariri usemi wa polisi, dereva mzembe ambaye anaendesha gari akiwa peke yake, abiria atatoka wapi?
Kuna sehemu pamepwaya, mbinu zilizotumika siku za Nyuma kupunguza ajari inabidi zirudiwe tena.
Samahani macho yangu yanamakengeza, picha ya gari alilopata nalo ajali nimeliona ni dogo (saluni) na alikuwa peke yake, wewe mwenye macho mazuri umeliona ni basi, samahani.Asilimia kubwa ya ajali ni madereva wa mabasi na magari binafsi yaliyobeba abiria , jaribu kufikiria sio kubishabisha vitu Vipo wazi kwa takwimu.
JPM factorNi kama zimeongezeka hivi! Sielewi😪
Ni kweli Mkuu,kifo Cha jiwe kimeathiri Sana performance ya Watumishi, wameanza kurudi kule kule.Kwa ujumla, nidhamu ya watumishi wa umma, wakiwemo maafisa usalama, imeanza kulega lega tena. Miaka michache iliyopita nidhamu ilianza kukaa sawa.
[emoji23][emoji2960][emoji2960]Samahani macho yangu yanamakengeza, picha ya gari alilopata nalo ajali nimeliona ni dogo (saluni) na alikuwa peke yake, wewe mwenye macho mazuri umeliona ni basi, samahani.
Asante Sana Mods kwa kuiweka vizuri hbr hii.Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.
RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Nashangaa watu wanasema hazikuepo. Zilikuepo tele ila tatizo ile sheria ya vyombo vy habari na takwimu ndo zilikuwa zinawazuia kutoa taarifa za ajali.Ajali zilikuwepo wazee kama kawaida ila ilikua inazuiliwa kuripotiwa na si ajali pekee hata matukio mengine mengine. Ila hizi za kuwahusu wanahabari limekuwa jini jipya.