Gentleman,
sasa wewe hoja yako iko wapi zaidi ya chuki, mihemko, ghadhabu na makasiriko dhidi ya huyo muungwana msema ukweli kwamba no reform no elections ni useless, nonsense, null and void?π
Mleta mada umeleta HOJA KUNTU kabisa...Hata Mama Samia anajua kabisa madai ya CDM ni ya MSINGI sanq...
Naamini Mh Rais atakubali kufanya reforms hata marekebisho madogo ya Katiba ili kupata tume huru, shirikishi na ya haki kwa maslahi mapana ya Mama Tanzania
lakini Chadema huwa wanasema kutoa maoni tofaut ni haki,
nadhani hata Lisu aliwahi kusema Chadema HQ inanuka rushwa na ikaonekana ni uhuru wa kutoa maoni,
kulikoni mtu kusema no reform no elections ni useless, nonsense, null and void agenda kulingana na maoni na mtazamo wake iwe ni usaliti leo?π
The dictator uchwara wants to be on the ballots all by himself, so he's trying to force everybody else to stay away.Yes,
becoz Lisu will be on ballots gentleman π
and because of the rejections of his useless and nonsense agenda of no reform no elections by citizens, the gentleman is looking like confused man for sure πThe dictator uchwara wants to be on the ballots all by himself, so he's trying to force everybody else to stay away.
hiyo agenda inayopingwa kila mahali, maamuzi yake yalifanyika wakati akina sugu na aida hawakuwepo sio?Tofautisha kutoka maoni na dhihaka
Alichofanya Leo huyo msaliti ni dhihaka dhidi ya chama. Unapinga maamuzi ya vikao vya chama na kumpelekea lawama Lissu wakati maamuzi hayo yalifanyika Chini ya Mbowe. Kijana Hana nidhamu.
sasa gentleman,Acha kutumia neno muungwana vibaya.
no reform no elections ni null and void agenda ya kitapeli ya Yahaya gentleman πKwa hivyo 4R za mama ni nonsense
reforms zilishafanyika ndio maana Lisu na watangaza nia wa Chadema wengine watashiriki kikamilifu uchaguzi wa October mwaka huu gentleman πKama hataki Reforms akagombee chama kingine.
reforms zilishafanyika ndio maana Lisu na watangaza nia wa Chadema wengine watashiriki kikamilifu uchaguzi wa October mwaka huu gentleman π
Wamejianika. Mungu yu mwema πMamluki ndani ya CHADEMA Wana hoja za kitoto Sana.
Fanyeni reforms ,twende kwenye uchaguzi ,hatutaki mayowe yenu uchwa ccmGabriel Mwita haogopi uchaguzi.CHADEMA ili mpate dola lazima mshiriki uchaguzi na kuchaguliwa.Ni chama mfu tu kinachoogopa uchaguzi kwa visingizio vya kitoto
hiyo agenda inayopingwa kila mahali, maamuzi yake yalifanyika wakati akina sugu na aida hawakuwepo sio?
Yalifanyika wakati watangaza nia za ubunge, udiwa na urais hawakuwepo sio?
na lisu pia hakuwepo?
mbona ametangaza nia ya kugombea urais na kwa maana hiyo anajipanga kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa October mwaka huu?
Yaa kutangaza nia na kuikataa no reform no elections ni kwa Julius Mwita tu na sio kwa watangaza nia wengine hao wote ikiwa ni pamoja na lisu, right?π
and because of the rejections of his useless and nonsense agenda of no reform no elections by citizens, the gentleman is looking like confused man for sure π