Tetesi: Gachagua akita Kambi nje ya Mahakama, Nairobi

Tetesi: Gachagua akita Kambi nje ya Mahakama, Nairobi

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Aliyekua Naibu Rais wa Kenya, ameweka Kambi nje ya Mahakama Kuu Kenya ili kupambania kurudishiwa Cheo chake. Mawakili 20 bado hawaamini?
 
Uroho wa madaraka tu! RG ni mtu mzito sana, anao ukwasi wa kutosha,,,,, pia mkewe ni mama mchungaji pesa wanayo, tamaa ya madaraka tu kama kina odinga, trump na wengineo ! Hela sio kikwazo kwao
 
Gachagua atapagawa kwa Hustler
 
Back
Top Bottom