Siasa za Kenya hazijawahi kukosa uhuni.Huyu Naibu Rais ni mhuni na ataondolewa kikatiba.
ni muda sasa hatumii chopa ya jeshi kabisa badala yake anatumia private chopas🐒Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia!
Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo.
Soma Pia:
Kayataka Mwenyewe..Watamuua hakika