Gachagua: Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa Yesu MNAZARETI, na Hatuwezi kusema ni ukabila!

Gachagua amesema hakuna Dhambi yoyote wala ukabila unapoutaja Mlima kwa sababu hata Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro

Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa " MNAZARETI"

Ahsanteni sana πŸ˜€πŸ˜€
Hata Mimi hiyo I'd yangu ndiko nilikolelewa,Haina maana kuwa nabagua watu,Sina Udini,kabila Wala ukanda nk!
 
Gachagua amesema hakuna Dhambi yoyote wala ukabila unapoutaja Mlima kwa sababu hata Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro

Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa " MNAZARETI"

Ahsanteni sana πŸ˜€πŸ˜€
aende Nyeri town huko kwa murima kwa amani sasa asianze kutuhubiria tunachokijua tayari πŸ’
 
Gachagua amesema hakuna Dhambi yoyote wala ukabila unapoutaja Mlima kwa sababu hata Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro

Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa " MNAZARETI"

Ahsanteni sana πŸ˜€πŸ˜€
Plz gachagua tunakuheshim sana ,usianze kututaja kwenye migogoro yenu,,, tz Kuna mlima ? Kwan kwenu hakuna ?? Kabsaa kama unaondolewa ondoka usimtafute tawi la kushka wakat unasukumwa kutoka kwenye mti wa matunda ,,umeaharibu mwenyewe
 
Umesahau kutaja jina lako na unapotokea "ni mimi Masatu Chacha kutokea Nyamuswa Tanzania. Ujumbe tuendelee kusikiliza DW dira ya Dunia"
 
Gachagua amesema hakuna Dhambi yoyote wala ukabila unapoutaja Mlima kwa sababu hata Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro

Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa " MNAZARETI"

Ahsanteni sana πŸ˜€πŸ˜€
So anajilinganisha na Yesu?
 
Tanzania Kuna Mlima Sio Murima ndg Riggy G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…