Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Siku chache baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuruhusu Jamii ya Watu wa LGBTQI kuunda Chama chao, Makamu wa Rais, Rigathi Gachagua amesema kuwa hawawezi kuruhusu kitendo hicho, kwani Rais William Ruto ni Mcha Mungu hivyo atafanya kinachopaswa
"Kwa namna yeyote ile tuna desturi na tamaduni zetu, na wanachokitaka ni kinyume cha maadili, haki na namna yetu ya kuishi, kwa hivyo hayo maneno sisi hatuko hapo" ameeleza
"Kwa namna yeyote ile tuna desturi na tamaduni zetu, na wanachokitaka ni kinyume cha maadili, haki na namna yetu ya kuishi, kwa hivyo hayo maneno sisi hatuko hapo" ameeleza