Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Hata Mwenye heri Julius?Hauwezi ukawa raisi then uwe mcha Mungu ni kitu isiyowezekana kabisa. Thus duniani Hakuna raisi aliyewahi ingia mbinguni, wote wapo kuzimu.
Yeye amewekwa na hao hawezi pingana nao.
Ushaskia kuna Shetani m.senge?Agenda kuu ya ushoga ni kupunguza idadi ya wanaume duniani, wanaume wanampa Sana tabu shetani kutimiza mipango yake duniani kuelekea New Order
Una ushahidi kuwa wapo motoni wakina Nyerere?Hauwezi ukawa raisi then uwe mcha Mungu ni kitu isiyowezekana kabisa. Thus duniani Hakuna raisi aliyewahi ingia mbinguni, wote wapo kuzimu.
Yeye amewekwa na hao hawezi pingana nao.
Nyerere ni muhimu kwenye siasa na sio kwenye dini.Una ushahidi kuwa wapo motoni wakina Nyerere?
Huwa hatuwajibu watu wapumbavuUshaskia kuna Shetani m.senge?
sio kila kitu kumsingizia shetani, yeye mwenyewe siku hizi pengine anasema jamaa wamenizidi kwa uovu?
kwny Sodoma na Gomora unajua kuwa shetani alipona kwa kuwa hakuwa sehemu ya wafirwa au wafiraji?
Ana heri gani hali alitumia uchawi kuongozaHata Mwenye heri Julius?