Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti

Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama, Agosti 30, kuna askari aliingia kwenye chumba changu akataka kukiwekea sumu chakula changu, tuligundua hilo na kulikwepa."

Anaongeza "Septemba 3, nikiwa Nyeri, Maafisa wa NIS walitaka kuweka sumu katika chakula, nikatoa taarifa hizo kwa NIS na kuelekeza Afisa aliyetumwa aondolewe. Baada ya majaribio ya kuniua kushindikana ndipo ikaja hoja ya kunivua cheo."

Gachagua anadai tangu alipolazwa Watu wasiojulikana walio karibu na Rais wamekuwa wakifuatilia afya yake, wanapiga simu kuulizia kama amekufa au amepona na kudai walikuwa wakisherekea

Gachagua anadai tangu alipolazwa Watu wasiojulikana walio karibu na Rais wamekuwa wakifuatilia afya yake, wanapiga simu kuulizia kama amekufa au amepona na kudai walikuwa wakisherekea.

========​

Impeached Deputy President Rigathi Gachagua has accused the Head of State of oppressing him, saying he has betrayed an accord they made before assuming office in 2022.

In a press address after his discharge from the Karen Hospital, where he was receiving treatment after falling ill last week, Gachagua said he trusted Ruto, who has since betrayed him.

He further claimed there were two attempts to assassinate him before the impeachment was tabled in parliament.

"I don’t feel safe. On August 30th undercover cover police agents in Kisumu entered my room and one of them tried to poison my food but we detected it and we were able to escape. I was supposed to be killed through poisoning."

"On September 3rd in Nyeri, NIS officers came to Nyeri and tried to poison food belonging to me and Kikuyu elders. I reported the matter to NIS and asked the officers assigned to my office to leave. After attempts to assassinate me failed, this impeachment motion was hatched," Gachagua claimed.

Gachagua argued that unlike fellow Kenya Kwanza principals including Musalia Mudavadi, Moses Wetangula, Alfred Mutua and Amason Kingi, he did not ask for a pre-election agreement with the President.

“I trusted President William Ruto, the people of Mt.Kenya region trusted him. As we were preparing to go to office, nobody else trusted him. I am the only man who trusted him verbally because we are Christians, we used to go to church together. I believed my fellow Christian, that he would never betray me or my people,” said the impeached DP.

According to Gachagua, the man he trusted has taken him through a storm in the past one year.

“For the last one year, it has been very difficult. But I am a very persevering man, very enduring. What happened on Thursday was a culmination of continuous persecution and stress for a year.”

Gachagua went on to claim that since his admission at the Karen Hospital on Thursday, unnamed persons close to the president have been making calls to find out if his health is further deteriorating.

“I hear many of his people were calling here (hospital) asking whether I am dead, whether I survived, whether I will recover, they were celebrating,” Gachagua told the press on Sunday.

He likened the ‘persecution’ by his former boss to that meted upon Kenneth Matiba during the late President Daniel Moi’s regime.

“When I look at it, probably it is history repeating itself. President William Ruto wanted to take me the route President Moi took Matiba. He pushed Matiba to getting a stroke and dying. When I look at what the president is doing to me, especially now when I am in hospital, crippling me, treating me like an animal… I think he wanted to take me the Matiba route,” he said.

Gachagua added that he is being prosecuted for speaking the truth to power. He cited his stance against presidential order to evict people from riparian land in Nairobi. He also cited his stance against the lease of Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Indian-owned Adani Company.

Source: citizen.digital
 
Naibu Rais aliyempichiwa Mh Gachachagua ametoka Hospital huku akilia na kusema Serikali ilitaka kumuuwa mara mbili ikiwemo kumuwekea Sumu kwenye chakula

Gachagua amesema lolote baya litakalomtokea yeye na family yake Muhusika ni Rais Ruto

Tarehe 3 Septemba, huko Nyeri, timu kutoka Huduma ya Ujasusi wa Kitaifa ilijaribu kuweka sumu kwenye chakula kilichokusudiwa kwangu na Baraza la Wazee wa Kikuyu. Kisha ikafuata kesi ya kuniondoa madarakani baada ya majaribio mawili ya kuniua kupitia sumu kwenye chakula kushindikana.
====================
Gachagua to Ruto: Please, Mr. President, I beg you, don’t kill us or my children. We are a simple and small family; let us be. You have caused me enough pain; allow me to have my peace, if nothing else

I don’t feel safe. On August 30th, in Kisumu, undercover security agents bugged my room and one of them attempted to poison my food. However, we detected it and managed to escape the scheme

Source: Citizen TV

Nimeogopa Sana🐼

Mlale kwa machale 😀
 
Naibu Rais aliyempichiwa Mh Gachachagua ametoka Hospital huku akilia na kusema Serikali ilitaka kumuuwa mara mbili ikiwemo kumuwekea Sumu kwenye chakula

Gachachagua amesema lolote baya litakalomtokea yeye na family yake Muhusika ni Rais Ruto

Source: Citizen TV

Nimeogopa Sana🐼

Mlale kwa machale 😀
Mpuuzi mkubwa huyo!
 
Gachagua alionja sumu akifikiri haitammaliza. Kinachomkuta Gachagua kimewakuta wote waliotaka uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania.
 
Uzuri wa Wakenya hawajuhi kunyamaza....
Familia ya Nyerere wapo kimya, Adam Malima yupo Kimya, familia ya Mkapa Kimya, familia ya Sokoine wapo kimya, Philip Mangula kaamua kukaa Kimya, Janet Magufuli yupo Kimya...Yule Mzee WA kamati ya Chadema ambaye alishushwa kwenye basi mchana WA jua kali wameishasahau! Edward Lowassa kaamua kufa na Siri zote za Mkwere, Khaa! njaa, njaa, njaa!
 
Hawa ndio walimtibu TAL 😄
Mchango wake kwenye hayo matibabu ni upi? Mambo yasingefila huko endapo hapa nyumbani wangetekeleza wajibu wao. Kana kwamba haitoshi, mmegoma kumlipa gharama zake za matibabu.

Kama anaongea sana tusiseme?
 
Uzuri wa Wakenya hawajuhi kunyamaza....
Familia ya Nyerere wapo kimya, Adam Malima yupo Kimya, familia ya Mkapa Kimya, familia ya Sokoine wapo kimya, Philip Mangula kaamua kukaa Kimya, Janet Magufuli yupo Kimya...Yule Mzee WA kamati ya Chadema ambaye alishushwa kwenye basi mchana WA jua kali wameishasahau! Edward Lowassa kaamua kufa na Siri zote za Mkwere, Khaa! njaa, njaa, njaa!
Umesahau na Mbowe alipoteguka mguu kule Dodoma akasingizia eti alitekwa😎😎
 
Uzuri wa Wakenya hawajuhi kunyamaza....
Familia ya Nyerere wapo kimya, Adam Malima yupo Kimya, familia ya Mkapa Kimya, familia ya Sokoine wapo kimya, Philip Mangula kaamua kukaa Kimya, Janet Magufuli yupo Kimya...Yule Mzee WA kamati ya Chadema ambaye alishushwa kwenye basi mchana WA jua kali wameishasahau! Edward Lowassa kaamua kufa na Siri zote za Mkwere, Khaa! njaa, njaa, njaa!
Bila kumsahau Zitto Zuberi Kabwe, naye yuko kimya. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI naye yuko kimya!
 
Back
Top Bottom