Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

Ruto ni msaliti na shetani anayejulikana , kila kitu cha kumuondoa gachagua anahusika yeye direct
Ruto hahusiki kabisa. Gachagua aliyatimba mwenyewe “aliwahi sema eti NIS dysfunctional” pia alimu accuse DG-NIS, so hiyo ni vita yake na mfumo maana aliwahi sema DG-NIS hana uzoefu, kwa ufupi Gachagua aliingilia mfumo usiomuhusu
 
Ok
 
Ok
 
Mfa maji ...haishi kutapatapa.
 
Tanzania Kuna ombwe, hata ninae andika nikijiita usalama utakubali hacha ujinga sisi ni viiiyo

Aliyemwekea simu Naibu wa raisi Kenya ni usalama wa taifa la Kenya na alie mponya hasile chakula chenye siku ili afe nae ni usalama je WEWE wajiuliza Nini?upo TAYARI kuwa usalama wantaifa wa mataifa ya kiafirica?
Nenda Lima hachana na hizi kazi.
 
Umezungumzia Afrika tu? JFK aliuawa na majambazi wahuni tu, siyo? CIA hawakuhusika na kumtendea madhila maovu PM Lumumba wa Congo na kisha kuufanyia unyama wa kutisha mwili wake?
 
Rudi darasa la pili ukajifunze uandishi
 
Ruto hahusiki kabisa. Gachagua aliyatimba mwenyewe “aliwahi sema eti NIS dysfunctional” pia alimu accuse DG-NIS, so hiyo ni vita yake na mfumo maana aliwahi sema DG-NIS hana uzoefu, kwa ufupi Gachagua aliingilia mfumo usiomuhusu
 
Attachments

  • 20240627_215047.jpg
    195.5 KB · Views: 5
Huyu mwamba ipo siku ata revenge, Kenya hapatakalika.. Sio salama tena
Huyo kiazi tu hajui siasa ndio maana ana suffer the consequences. Pindi kaingia tu madarakani alimkashifu sana Uhuru... saizi anatapatapa
 
Huyo kiazi tu hajui siasa ndio maana ana suffer the consequences. Pindi kaingia tu madarakani alimkashifu sana Uhuru... saizi anatapatapa
Hehehe alitoa shit sana wakati uhuru ana achia madaraka kwa ruto tena mbele ya viongozi wakubwa wa kimataifa mpaka watu wakajuta kwamba kwa nini gachagua alipewa maiki, eti taifa limepona kutoka kwenye mikono ya muuaji na mtekaji, kumbe uhuru ana mchora tu sasa kiko wapi hakika uhuru ni mtoto wa mjini kweli.
 
Sasa leo kesi yake inasikilizwa na itayolewa hukumu,na pia leo kaitwa ofisinya mkurugenzi wa mashitaka akaandikishe statement juu ya hivyo viendo vya kutaka kuuawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…