Gachagua: Tupeni Miezi 3, Tutatatua Mgogoro wa Kiuchumi

Gachagua: Tupeni Miezi 3, Tutatatua Mgogoro wa Kiuchumi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka katika awamu iliyopita na kuwataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika

Amesema, "Hali ni mbaya sana, hakuna pesa katika Hazina, na kidogo tunachokusanya kinakwenda kwenye mishahara na unapaswa kufanya nchi iendelee hivyo tunahitaji kufanya mengi ili kuongeza uzalishaji,"

Aidha, kuhusiana na kupanda kwa bei ya Mafuta amesema, “Tunatafuta suluhisho la kudumu na endelevu. Itakuwa udanganyifu kwa watu wa Kenya kuendelea kutoa ruzuku ya mafuta kwa muda mfupi tu, halafu tunakwama kiuchumi”

……………..

Deputy President Rigathi Gachagua has called for patience from Kenyans as their Kenya Kwanza administration mitigates the tough economic situation being witnessed in the country.

In an interview on Sunday, the country’s second-in-command said he and President William Ruto inherited a dilapidated economy last week and thus it will take some time before they take control of the situation.

“The situation is very bad, there is no money in the Treasury, and the little that we are collecting goes to salaries and you have to keep the country going so we need to do a lot to boost production,” the DP told NTV.

He revealed that the Kenya Kwanza administration is currently prioritising agriculture as a remedy even as the cost of foodstuffs like maize flour remains high due to lifting of the maize subsidy by ex-President Uhuru Kenyatta’s administration.

“We must spend time, effort and money on agriculture. That’s the way to go and I can tell Kenyans that in the next two or three months they are going to start seeing things picking up,” said Mr. Gachagua.

“We have been talking to KRA and we have told them that we need to change our tax regimes. Progressively we are going to have an increase in revenue collection, we are going to increase production of our agricultural commodities.”

Added Gachagua: “In another 90-100 days, the economy will start feeling the effect of good management.”

While noting that their government is seeking a “permanent and sustainable” solution to the high cost of living, the DP trashed Jubilee’s use of subsidies to mitigate fuel and food prices as mere “deception”.

“We are looking for a permanent and sustainable solution. It would be deceptive to the people of Kenya to continue subsidising the fuel only for a short while, and then we have an economic shutdown. We want to look for a long-term solution and I want to ask people to be very patient, things will work out,” said the deputy president.

Source: Citizen Digital
 
Rais wa sasa alihusika pia kuujenga huo uchumi dhoofu. Au hahusiki hata chembe?
 
Ni kawaida yenu,
Mkishapata sasaaa, sababu kibaooooo,
Any way ni zamu yenu sasa kutafuna fanyeni vile mnataka
 
Back
Top Bottom