Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
real ,That an old senior Cornel can not lead today africa! we need New Leader with current vission to lead africa not a man in transition to lead Africa.
Mimi nina wasiwasi kama alichaguliwa na watu wenye kuona mbali? Raisi wa Africa anatakiwa mtu mwenye maono ya kufikiria mbali sio kama huyu Mzee Gadaf. Au ni ile imani kwamba ukishakuwa raisi wa nchi yoyote hata iwe imekushinda unaweza kupewa cheo kilichopo juu ya uraisi wa nchi ambao mimi naona ni kuwa Rais wa Bara au muunganiko wa nchi zaidi ya moja kama jumuia ja Africa Mashariki. Tusikubali hali hiyo.
Wengi wamemchukia alipousema vibaya Ukristo na sio zaidi ya hapo, hayo mengine ni propaganda tu, kuficha ukweli wa chuki kuwa ni kutokana na kuusema vibaya dini yao.
Kwa viongozi wa kiafrika walioongoza vema yeye ni mmoja wapo, tena mzowefu wa masuala ya kimataifa. amewahi kushika uongozi wa OAU mara kibao sasa alipopata AU sio mbaya, anastahili na anaweza.
Rais Muamar Gadafi kachaguliwa kuwa mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna kigezo?Mimi sijui.

huyu hafai kuongoza afrika kwa sababu ni dikteta aliyeng'ang'ania madarakani miaka chungu nzima sasa. Sijui viongozi wa afrika walikuwa wanafikiria nini walipomteua dikteta kuwa mwenyekiti wa au.
nakuonea huruma sana
kwani kikwete alikuwa anaweza au amewza kuiongoza tanzania
mbona alikuwa rais wa AU
kadri yako dikteta ni nani,,,unafuata mfumo wa magharibi nini