Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Inasemekana kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Rais Gaddaffi, amekumbwa na kashfa ya mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja wa ukoo wa kifalme huko Uganda.Habari hizi ni kwa madai ya gazeti liitwalo Red Paper huko Uganda.
Wana JF fuatilieni tetesi hizi na kuweka wazi kinachojiri.
Gadaffi atamweza wapi mwanamke wa Kiganda jinsi wanavyojua mapenzi???
Naona babu huyu atulie tu huko Libya na waschana wakiarabu!
Mambo ya kiganda hayawazi!
Huenda hizi ni njama za Museven za kumchafulia jina......................................
SAHIBA.