GADIEL MICHAEL MMBAGA

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
825
Reaction score
2,340
Wakuu hizi habari za Gadiel kutua msimbazi ni za kweli? Nimeona Shaffie kama kawaida yake mzee wa underdog kapost...
 
Ni kwel Dr, msolla
Analalama kwel
 
Shafii alisema na Metacha Mnata keshasaini Yanga ila sijasikia hadi Leo Yanga wakiongelea hilo
 
So kwel,gadiel kasinya yanga 2year contract
 
Kitu cha kufurahisha ni dr mshindo amefanyia kazi mara moja ushauri wa raisi mstaafu dr Kikwete . Watoto wamekusanywa kutoka mikoa yote kwa ajili ya mchujo wa kutengeneza timu ya under 20 chini ya Kocha smg . Talent zimepungua sana sasahivi
 
Wachezaji wa Tanzania sijui huwa wanaogopa nini? Kwa nini wanashindwa kuwa wawazi kwamba mimi naondoka msimu ujao siyo leo unataka dau hili timu inakubali dk za mwisho unagoma unapandisha wanakubali,then unapandisha tena. Kuweni proffessional na msimamo,hakuna klabu inayo zuia mchezaji anae maliza mkataba kwenda anapo pataka. Lakini siyo kupotezeana mkataba.
 
Yanga na Simba zifanye umafia ajikute anasajiliwa Namungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…