Gadiel Michael wa Yanga atimkia South Africa

Mbona yupo kambini mchezo dhidi ya Alliance ? ,hizi taarifa naanza kuzitikia shaka
 
Write your reply...

bila zahera,yanga ingekuwa imekufa kitambo
 
Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Haaaaaahaaaaa mashabiki wa Simba bhana ss zimbwe hp anakujaje? Yaani imewauma kishenzi amunike kumchagua gadiel na kukaacha kajamaa kenu kale jamaa alikichafua kweli muacheni aende!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.
Huyu kijana anauweo mkubwa sana, ni Kati ya mabeki wachache kuwahi kutokea Tanzania ambaye anaweza akatoa pasi akaipokea kwa mbele zaidi ya mara moja (kwenye move moja) .
Ana pumzi ya kutosha pia.

Mungu amjalie afanikiwe uko aendako.
 
Safi sana.
Huyu kijana anauweo mkubwa sana, ni Kati ya mabeki wachache kuwahi kutokea Tanzania ambaye anaweza akatoa pasi akaipokea kwa mbele zaidi ya mara moja (kwenye move moja) .
Ana pumzi ya kutosha pia.
Mungu amjalie afanikiwe uko aendako.
Yuko Simba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…