ukweli mchungu,jamaa wanajua mpira na jana wamedhihirisha,huyo Tshishimbi ana siku 5 tu tangu atue kaonyesha mavitu hivyo je akizpea ligi hii itakuwaje.pia Gadiel ni kifaa ambacho yanga wamelamba bingo.huo ndo ukweli kataa ukabali.kwa simba Niyonzima alietoka yanga amejitahidi kuhaha uwanja mzima ila alikuwa amekamia tu