Gadna Habash kama Zuma!

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,203
Leo jioni Gadna kachemka kwenye kipindi cha 'kubwakubwa'!
Akiwa Na mwenzake redio EFM wamedai vita ya kwanza ya dunia ilikuwa Kati ya Mwaka 1905 hadi 1907! Ukweli ni vita hiyo ilikuwa Mwaka 1914-1918. Wawe makini wakiwa hewani wasije wakawa Kama rais Jacob Zuma aliyesema Afrika ndilo bara kubwa kuliko yote! Pamoja. Hapa kazi Tu!
 
alikuwa anakusudia maji maji uprising mkuu!halafu iyo kama Zuma,mi nilifikiri ile game ya Chura(zuma revenge) mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…