mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Wakati akiongea katika mahojiano maalum kuhusu kutimiza miaka miwili ya kipindi chake cha Maskani kinachorushwa na 100.5 Times. Leo asubuhi akijibu maswali ya Mc Pililpili aliyekuwa mmoja wa waendesha kipindi cha Sunrise.
Gadner alifunguka na kusema yeye na Jide hawana tatizo lolote na yanayozungumzwa mtaani ata yeye anayasikia kama wengine wanavyoyasikia ila sio ya kweli, Ukweli ni kwamba yeye wako sawa na Jide na wameshazoea aya yanayozungumzwa na wana miaka zaidi ya nane sasa ya ndoa licha ya yanayosemwasemwa.
Alimwona wapi Jide kwa mara ya kwanza?
Akasema alimskia Jide kwa mara ya kwanza akitangaza radio akavutiwa sana na sauti yake mwisho wakafanya kazi ofisi moja wakazoeana wakawa marafiki mwisho wakawa ivyo.
Alipoulizwa kuhusu Jide kutokuonekana mahakamani, alisema ni kweli hakuwa akitokea mahakamani na ni yeye ndie aliyekuwa akimzuia asimsindikize ili kuepusha mambo ya wanahabari.
Alipoambiwa anamwambia nini Jide anapomsikiliza sasa hivi, Gadner alijibu kwa kifupi nimeishamwambia asubuhi. Akaendelea kubanwa amwambie chochote tu ata kukirudia icho alichomwambia asubuhi wakati wanaamka, Gadner alisisitiza ameshamwambia na ata ivyo ameshamwambia miaka mingi ivyo inaeleweka.
Akaulizwa tena kwani sasa hivi umetokea kwa Jide? Alijibu kwa hamaki kidogo, mbona mnaniuliza kuhusu Jide sana,hii ni interview yangu kama mnataka kujua kuhusu Jide zaidi basi mtafuteni yeye mwenyewe.
Kipindi cha maskani cha Gadner kinatimiza miaka miwili.