Mbona huyo bull Hana mapumbu?!
Bahati yake anaishi Kenya, na anafanya kazi shirika la Ulaya
Huyo anaemchora Magu 'ako' na jipu linalofanana na yeye ndiye mchochezi haswa, Gado anaitumia vizuri kalamu kufikisha ujumbe halisi kwa jamii kupitia sanaa yake.Kuna nyengine amemchora Magu ako Na jipu, lakini jipu Lina sura imefanana naye, Hilo jipu ndo lampatia mawaidha! Hahaha
Iweke hapa!!Kuna nyengine amemchora Magu ako Na jipu, lakini jipu Lina sura imefanana naye, Hilo jipu ndo lampatia mawaidha! Hahaha
Umeshawahi kuisikia the Niemöller quote? Ipo hivi, alikuwa ni myahudi aliyeishi ujerumani hitler akiwa madarakani, alisema hivi...Hakuna mtu yeyote Tanzania awe mchora katuni ama mwandishi wa habari aliyekamatwa kwa kumkosoa Magufuli. Wote waliokamatwa ni kwa kumtukana Rais. Masudi Kipanya kila siku anachora katuni za kumbeza Rais lakini hajawahi kuguswa.
Kwa wale wajinga wanaodhani kutukana ndio demokrasia wakaanze kutukana wazazi wao tuone nini kitatokea.