mshauri huyo mtu akaangalie katuni za kwenye gazeti la Uhuru.MK254,
..sasa yuko jamaa mmoja analalamika kwanini Gado hachori katuni za kumsifia Magu, badala yake anachora katuni za kumkosoa kila siku??
unafaa uangalie interview yake na bbc, that guy is cunning mazeHahahahahaha hiyo ya ethiopia karibu iniuwe kwa kicheko View attachment 405078
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatamani mkai zingire nyumba yake sio?
mkamshitaki kwa uchochezi?