Gaijin na Regia: JF Women of the Year 2010

Status
Not open for further replies.
great thinkers!! Are these people really women?
You may end up calling a man jf woman of the year!!
Hope you understand what i mean.
Just remember that we have very few ppl who use their real names here.
 
umenikosha kwenye hiyo signature, mangwale wanasema wanakupenda pia!
 
Respect!!!
 
Mama,ur amazing!!!umenifurahisha sana kwa maneno yako mazuri.Hongera kwa ushindi
 
MImi nafikir man of the year imuendee RUTASHUBANYUMA...! Huyu jamaa nimemkubali sana kwa uwezo wake wa kupost ukilinganisha na muda alio ingia hapa jamvini...!
 
great thinkers!! Are these people really women?
You may end up calling a man jf woman of the year!!
Hope you understand what i mean.
Just remember that we have very few ppl who use their real names here.
hata mimi siamini gaijin ni mwenzangu loh nimejua leo
 
RIP Regia: JF Woman of Year 2010
 
aiiii...kumbe Gaijin ni she....poor me..always consider her gender as He and not she kutokana na michango yake kuegemea mfumo dume...i was wrong....baada ya msiba jinsia za baadhi ya members zimejulikana..1. Malaria Sugu 2. Gaijin 3........
 
Hata Mimi nitashangaa,nimejiandaa kumuachian Taji.Mchakato utafanyika lini au ndio mpaka Disemba?

I wish ningejibu hii post hali uko hai... Sielewi nini hasa ungenijibu.
But la Msingi ni kua this post from you will be treasured by me Forever.... R.I.P Love.
 
aiiii...kumbe Gaijin ni she....poor me..always consider her gender as He and not she kutokana na michango yake kuegemea mfumo dume...i was wrong....baada ya msiba jinsia za baadhi ya members zimejulikana..1. Malaria Sugu 2. Gaijin 3........
Vinci, ni kweli msiba huu unatuungasha zaidi huku tukizidi kufahamiana zaidi.

Siku moja nikiwa mahali, nikajitanabaisha mimi ni member wa jf, jamaa mmoja mshabiki wa Chadema akanifuata na kuniambia kumbe wewe ndio Malaria Sugu!. Ilibidi nikubali ili yaishe, sasa leo niliposikia Malaria Sugu kumbe ni "she" sasa yule jamaa niliyemkubalia mimi ndio Malaria Sugu akijua Malaria Sugu ni She atagundua kumbe nilimuingiza chaka!.

Asante Regia Mtema kwa kutupa fursa ya kuwa karibu zaidi na kufahaniana zaidi!
RIP!.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…