Galana Kulalu Project

Galana Kulalu Project

Gulana Kulalu yenu acres 10k ni msaada na ufisadi juu wa kutisha

Sisi tumeanza project mpya cheetah project acres 12000 zote pesa zetu na ni kwa gharama rahisi mara 90 ya huo mradi wenu

[emoji28][emoji28][emoji28]hizi battle siku hizi ziko mbali.
 
Kwenye mambo ya kilimo wakatafute rika lao lakini sio Tanzania. [emoji3]

wako kule wanapeana leso za umasikini 50% wa tz[emoji28][emoji28]wanasahau ni viwango vimepandishwa na wanaoamua.

yalivyo majinga hayajui tuna idadi kubwa ya watu kuliko wote EA.
 
Gulana Kulalu yenu acres 10k ni msaada na ufisadi juu wa kutisha

Sisi tumeanza project mpya cheetah project acres 12000 zote pesa zetu na ni kwa gharama rahisi mara 90 ya huo mradi wenu

Hivi hizo 10k acres si kuna wakulima wa Tanzania wanalima zaidi ya hizo acres na hawapigi kelele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leta evidence ya mmoja wao. Usituone sisi kama ni wajinga kama nyinyi.
 
Bila evidence hizo zitabaki stori za vijiweni.
Umejua kwann +2 mln acres za umwagiliaji?

If I tell u nina shamba zaidi ya hecta 1000 utaamini? N where my farm is kuna several individuals wenye mashamba ya zaidi ya 10000 hectares!

Endelea kukaa kipande system huko Kenya halafu ubishane nasi!
 
Sawa Mdosi.
 
Unaweza kuafford kulima na kupanda 1000 acres?
 
Why not it depends on the kind of landuse-plans u have! Mine 90% is on varieties of use though i'll not disclose them overhere!

For the reasons I know to myself! Remaining discreet is always my motto!
 
Why not it depends on the kind of land use plans u have! Mine 90% is on varieties of use though i'll not disclose them overhere!

For the reasons I know to myself! Remaining discreet is always my motto!
Okay. Good for you.
 
Okay. Good for you.
JPM is the best thing for us with his agenda to revamp/build new infrastructures across the country be it on irrigation dams, silos, food markets, gas-/hydropower, transmission lines, water/oil/gas pipelines, railways, ports, roads or airports (with cold storages) plus a plan for cargo aircraft! U might not understand if u r not farming! A little insight the price of fertilizer has more than halfened as a farmer has an option to get the supply via revamped MGR n CGR trains that the transport costs r cheap! Likewise our farms r accessible to all potential farmers, ur fellows r tracking over 2000 km from Nairobi to buy farm produce but unfortunately they were trying to be a monopoly. Now the competition is heating up as more overseas opportunities r lining up themselves meaning good price for us. Large scale farming is even set to grow farther!
 
Back
Top Bottom