Ukulima wa mahindi pale Galana-Kulalu (NB: I posted this earlier, but it disappeared, kama iko shida, please tell me so I don’t post it again. I wouldn’t break rules deliberately. Thanks)
Usiweke pilipili katika kidonda kibichi, hii kitu ukiitaja wakenya wote wanapata kiungulia, wanaume waligawana pesa na kampuni la kitapeli toka Israel hapo ndio mwisho wa hadith yetu