Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Oya wazee wa GALANOS mpo???? vipi msocha mnamkumbuka? lakasachika club.....mwalimu msombwa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KKinala bado ni headmaster hadi sasa??
dah unawafahamu hawa jamaa, ni rafiki zangu sana, santos mara nyingi nakua nae hata yazid ila sasa hvi sijui yupo wapi maana tangu kamaliza chuo sijawasiliana nae.Wanangu Du! Socha Boy mnamkumbuka ticha la Michezo nomaaa!!
Na mnambuka Headboy Mrema??? Mwalimu Masawe mke na mume, Shemgwa, na ticha potable but mke wa mtu nasikia Shetui, Na wengineo Mama mafue wanangu nyie mmemaliza lini? je jamaa anaitwa Santos, Yazidu, Malalia, Gerrad, Isaya Estomih, Isidori shirima, Frank Mkony mnawajua?
Bye bye
umeshau bweni langu la kahawa mkuuGalanos Bwana!!!!!!!!!!!!!
Mabweni Pamba, Chai yaani ilukuwa raha tupu!!
halafu miaka ile maziwa na kuku ..msosi ulikuwa poa!
Na kupasi watu walipasi vizuri sana..for O and A level!!
hivi Kinala bado ni headmaster hadi sasa??