brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Galatasaray yaguswa na matatizo ya Emanuel Eboue. Yaamua kumpa kazi ya ukocha wa vijana wa chini ya miaka 14 ili kupata kipato cha kujikimu kutokana na hali ya kufirisika baada ya kutalakiana na mke wake wa kizungu Aurille.
Mkufunzi wa Galatasaray Fatih Terim amenukuliwa na vyombo vya habari vya Uturuki akizungumzia mpango huo wa kumuokoa Eboue kwa njia ya kumpa ajira ya ukocha.
Pia gwiji mwingine aliyepata kukipiga na Eboue katika klabu hiyo ya Galatasaray Hassan Sas ameahidi kumsaidia kifedha Eboue.
Eboue baada kuamua kuachana nakewe huyo wa kizungu mahakaka iliamua mali zote apewe mwanamke.
Kwa bahati mbaya Eboue hakuwekeza kitu chochote nchini kwao ivory coast