Galaxy Note 5 "No service"

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Niaje wakuu, niliflash simu yangu aina ya galaxy note 5 N9200 (HongKong version).. hii simu baada ya kuflash haioneshi network.. yaani line haipandishi mtandao.. No service/no network connection.

Nimejaribu kuchange sim cards kadhaa, ku reflash na baadhi ya hatua kadhaa lakini bado.

Je hili tatizo linatatulika vipi?

cc Chief-Mkwawa
 
Bonyeza *#0011# kisha tuma picha hapa
 
Kama ukipiga dial call, ikiandika neno ^Not registered on network ^ we hiyo pesa ni ya fundi software tuu akanunue mafuta ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…