Phone4Sale Galaxy Note 8

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
1,915
Reaction score
5,750
Ipo sokoni, 260k (haipungui hata 100) au njoo na exchange deal.
RAM: 6GB
Storage: 64GB
Popote ulipo itakufikia.

Kama umeona vizuri ina kidoa kidogo upande wa kulia. Hakuna dosari zaidi ya hiko kidoa ma kila kitu kinafanya kazi sawasawa.

 
Kuna jamaa kariakoo anauza Samsung zenye vidoa kwenye display..

Za chini chini et ivyo vidoa vinatokeaga tu ata simu isipoanguka.
 
Hzo za china labda...mbona wengine zetu hazina madoa
Kuna jamaa kariakoo anauza Samsung zenye vidoa kwenye display..

Za chini chini et ivyo vidoa vinatokeaga tu ata simu isipoanguka.
 
Wewe ulitakiwa ujiite Kaka Pombe!
Punguza ujuaji bwana mdg hii ni biashara ya MTU if you are not interested pls kaa kimya. Hujui mwenzio kapatwa na nini anataka ajiokoe wewe umemvimbia kuiponda Mali yake. Jifunze kuwathamini watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…