Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Alafu hiyo bam yenyewe yupo shallow.

Ila dah haya maisha ya shule nakumbuka Yule ticha wa bam alikuja kutufundisha bam one day before necta.
Ndiyo maana wengi sana Bam walipiga Bashite[emoji1] [emoji1]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu wa kahawa walikuwa wanamuogopa panjabi kinoma

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Panjabi alikuwa mara atishie uchawi

Na ile sauti yake daah.

Ukiwa mgeni unaweza sema Ni advance
 
Kuna mwalimu alikua anafundisha Chemia mwemba mrefu afu tungi sana wa 2012 mlimkuta??? Kuna mkasa wake siwezi kusahau
Yule msambaa?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hp yupi huyo mbona nimemsahau yule aliyefukuzwa au?

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Hamna Yule aliefukuzwa alikuwa ally kombo alihamia lyamungo chuo akapiga ud..yupo tra pale kariakoo gerezani
 
Kuna mwalimu alikua anafundisha Chemia mwemba mrefu afu tungi sana wa 2012 mlimkuta??? Kuna mkasa wake siwezi kusahau
Yeah huyo alikuwa anaitwa Nani sijui alikuwa jembe saana.

Huyo alikuwa akiwa kuta mnatoroka sita watatu anawaruhusu watatu mnarudi nae anasema mkalinde shule.
 
Nimemkumbuka alikuwa naitwa Omar

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana wengi sana Bam walipiga Bashite[emoji1] [emoji1]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Sitaki kukumbuka ile bam aiseee. Kuna ile mock tulifanya tulichezea bashite saana hapo ndio akili zikakaa sawa.

Sema dah kuna vipanga walikuwa wanapiga bam balaaa
 
Yule macho yalikuwa yanarotate kama kinyonga.

Alikuwa na mkwara sàna assembly. Alafu alikuwa teacher wa mkonge
Ndiyo huyo alikuja kuhamishwa kabla hatujaondoka

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
ahaaaa mtoto kagawa k sana kwa wanafunzi niseme ukweli u na sijuh kama yupo salama ahaaaaa
Wewe ulipita mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…