Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

mnamkumbuka boy wa mbeya alikamatwa na simu form 6 2012 ikapasuliwa asembo na akaambiwa awelete wazaz ahaaa alipofika dom akaanza kusema duu mzazi kutoka beya mpaka tanga na mimi ina ghariu 450,000
Sembe alinikuta na simu akanionea huruma akaniacha

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Namkumbuka yule jamaa,vile vigae sikubeba aisee... ila nilipewa azabu ya kuchimba visiki vitatu vya muarobaini nilipiga kama wiki bila mafanikio.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duh ninacho shukuru vigae sikubeba wala visiki maisha yangu ya galaxy. Ila kusaidia wana tumesaidia saana.

Nakumbuka ilikuwa ukivuta tuu school unapewa sululu. Na Yule kinenejo au nan sijui ndio alikuwa specialist.


Kuna siku Yule ticha simkumbuki jina anaitwa la utani chogo. Alitupa visiki tukaongea nae kesi ikaisha
 
Yule chogo alikuwa mnoko kama msocha

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
We Denis hansi alipofika chuo alitulia saana. Ule utata uliisha pale pale.

Wakina mkandara walimnyoosha
Huyo jamaa alikuwa msumbufu sana pale skuli,kila siku mgina lazima amtafute.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nimemiss baikoko original la kisosora sio hili la kwenye mabar
 
Ndugu zangu wa kahawa walikuwa wanamuogopa panjabi kinoma

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Yule chogo alikuwa mnoko kama msocha

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Alafu hiyo bam yenyewe yupo shallow.

Ila dah haya maisha ya shule nakumbuka Yule ticha wa bam alikuja kutufundisha bam one day before necta.
 
Yeah namuona tena alikuwa speaker wa bunge la. Vijana.kile kichwa makimaster hatokisahau
alituluta na mwanangu atujaenda prepo tunacheza karata s form 5 wageni akatuambia msinikimbie akaanza kutupa ushauri wa maisha gafla mwaka 2015 mm tena na mwanangu tukapishana naye udom tulicheka sana ahaaa apo nayeye kawa braza men anavuga minywele hp hp way back sana
 
Kuna mwalimu alikua anafundisha Chemia mwemba mrefu afu tungi sana wa 2012 mlimkuta??? Kuna mkasa wake siwezi kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…