Galaxy wapost poster ya kivita yenye maneno let them come

Galaxy wapost poster ya kivita yenye maneno let them come

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hawa wanakuja kwa watu alafu wanajiamini namna hii ?

Yana wanawaita Simba hivi hivi, hata hawaogopi kabisa.

Je, hii ni ishara Gani Kwa makolo

[emoji1607] @bintiiringo
#WasafiSports
1709135246142.jpg
 
Unataka wasijibu? Yani wakae kizembe wakati na wao wamekuja kupambana? Ndugu utopolo tuliza komwe hilo unalihangaisha kwa kuwaza utaandika nini kuhusu Simba daily...
Nimemaliza kuangalia marudio hapa ya ile match ya 5 November nimeona Galaxy atapita humo humo, FT 1-5.
 

Attachments

  • FB_IMG_17091298458398778.jpg
    FB_IMG_17091298458398778.jpg
    512.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom