Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Huo ni mtego mkubwa sana kwa makoloHizi sasa zarau....
Halafu hii poster ina mkanganyiko, wao Galaxy ndiyo wanakuja kwa Simba halafu wanasema "waache waje?"
Mbona kama umepanick hivi🤣yaani mpaka mseme🤣Unataka wasijibu? Yani wakae kizembe wakati na wao wamekuja kupambana? Ndugu utopolo tuliza komwe hilo unalihangaisha kwa kuwaza utaandika nini kuhusu Simba daily...
Yeah mkuu, si umeona wameenda kujificha kwenye hotel kigamboni wanakula bata wapo swimming poolHii mechi Wydad anaicheza kwa kutumia msuli wake wa kiuchumi.
Wydad anaweza akaicheza hii mechi kiuchumi kule kwao na Asec halafu huku Tz na JwanengHii mechi Wydad anaicheza kwa kutumia msuli wake wa kiuchumi.
Lipo wazi,wanatia mkono Morocco na Asec na huku anampanga Jwaneng
Naliona hili pia.Waydad anacheza zaidi mechi ya Simba kwa kuweka mzigo kwa Galaxy so simba take careHii mechi Wydad anaicheza kwa kutumia msuli wake wa kiuchumi.
Ukiangalia Galaxy hiyo na hii ya sasa ipi iko on fire zaidi?Nimemaliza kuangalia marudio hapa ya ile match ya 5 November nimeona Galaxy atapita humo humo, FT 1-5.
Aisee refa tu wasimnunue,wakimnunua refa hapo watatuweza,ila kama ni wachezaji wa Jwaneng mpira uwanjani sidhani kama watatufunga au kupata drawNasikia Wydad katuma maofisa wake Tz kuhakikisha mambo yake yanaenda[emoji1787][emoji1787]
Yani nyie ndo mmechanganyikiwa mpka sasa..yani kwa jinsi mlivyo na kihoro cha roho mbaya mkitaka tufungwe hata chakula nadhani hakipiti...Kolopwinho/ Mbumbumbu/ Wamatopeni/ Kolouzidad/ Wamechanganyikiwa
Walaaa kama hujanijua mimi na Laban ni mwendo wa kumpa za uso tuu...Mbona kama umepanick hivi🤣yaani mpaka mseme🤣
Pamoja na kusuasua kwa Simba, Galaxy hawezi kushinda hiyo mechi wala kulazimisha sare. Nguvu zote za nchi zipo kuhakikisha TZ inaingiza timu mbili kwenye robo fainali.Huo ni mtego mkubwa sana kwa makolo
Kivpi mkuuUmekula spana kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Mdada anahasira[emoji23]Mbona kama umepanick hivi[emoji1787]yaani mpaka mseme[emoji1787]
[emoji23]Kolopwinho/ Mbumbumbu/ Wamatopeni/ Kolouzidad/ Wamechanganyikiwa
Basi makolo... kwisha habari yaoLipo wazi,wanatia mkono Morocco na Asec na huku anampanga Jwaneng
Sent using Jamii Forums mobile app
Kolo fc mtapigwa kama ngomaWaje wao au sisi? Anayekwenda kwa mwenzake ni nani ? Anyway ma sisi tunasema " Welcome "
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Dah..jamaa watakua wanahaha kwa njia zote ..wamechelewaLipo wazi,wanatia mkono Morocco na Asec na huku anampanga Jwaneng
Sent using Jamii Forums mobile app