Galaxy wapost poster ya kivita yenye maneno let them come

Hao watafanya nini zaidi ya kuhakikisha timu inapambana ndani ya uwanja? Yaani baada ya kucheza na viongozi na wachezaji wa Simba unaangaika na mgeni. Watafanya mbinu gani ya kujinasua?
Mechi yao na Asec sizani itakuwa ngumu na Asec hatocheza ile kukaza sababu kishafuzu na pili Asec atakuwa anawaepusha wachezaji wake na majeraha pamoja na kadi. Wydad hawezi kucheza na nyie sababu nyie mna nafasi kubwa ya kufuzu kuliko wao,ila Galaxy ana nafasi ndogo sana ya kufuzu so ni rahisi kumtumia Galaxy kuliko wewe.Jamaa hela wanayo na vilevile wanajua fitina za nje ya uwanja.
 
Yaani Wydad amuombee Jwaneng ashinde wakati Jwaneng akishinda anakuwa na uwezekano mkubwa wa kufikisha points 7 ambazo zinaweza kumpeleka robo final iwapo Wydad atapoteza!? Acheni kuwaza kilevi
Mpira wa Africa tofauti na ulaya,Asec sizani kama atamkazia Wydad sababu kishapita. Ila Galaxy kimahesabu nafasi yake ni finyu ,mwenye nafasi kubwa ya kupita ni ww,sababu una faida ya kucheza nyumbani.
So Wydad mtu wa kumtumia kirahisi ni Galaxy.
 
Wataaibika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanakuja kwa watu alafu wanajiamini namna hii ?

Yana wanawaita Simba hivi hivi, hata hawaogopi kabisa.

Je, hii ni ishara Gani Kwa makolo

[emoji1607] @bintiiringo
#WasafiSportsView attachment 2919312
Yanga mwenzangu hili nalo linakupa shida gani? Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Nyie wadada huwa mnajipa pressure kwa mambo ya watu. Sisi tumepita tayari tupumzike tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…