Galaxy wapost poster ya kivita yenye maneno let them come

Watakao kula hela ya Wydad

1. Marefarii hawa watapewa ili kubalance mchezo au kuwaua wenyeji

2. Mtu wa karibu wa Simba ili kuuza mbinu za timu na ikiwezekana kupitisha Takrima kwa baadhi ya wachezaji
 
Mwisho wa siku kiwango cha kila team ndicho kitakachoamua nani apite bila kujali nani kapewa nini na kwaajili ya nini.

Wydad anaweza kupoteza vitu viwili kwa pamoja, pesa zake na nafasi ya kwenda fainali.
Na hili ndilo linaweza kutokea
 
Mpira wa Africa tofauti na ulaya,Asec sizani kama atamkazia Wydad sababu kishapita. Ila Galaxy kimahesabu nafasi yake ni finyu ,mwenye nafasi kubwa ya kupita ni ww,sababu una faida ya kucheza nyumbani.
So Wydad mtu wa kumtumia kirahisi ni Galaxy.
Hakuna kitu kama hicho wewe, Kundi mpaka sasa liko wazi, mwenye uhakika na robo final ni Asec pekee wengine wote yeyote anaweza kuungana na Asec so hakuna huo ujinga wa fulani amtegemee fulani, kila mmoja anatetea nafsi yake na unaweza kushangaa Jwaneng akaungana na Asec, heshimu football.
 
Mwisho wa siku kiwango cha kila team ndicho kitakachoamua nani apite bila kujali nani kapewa nini na kwaajili ya nini.

Wydad anaweza kupoteza vitu viwili kwa pamoja, pesa zake na nafasi ya kwenda fainali.
Wydad pesa kwake sio tatizo, timu ina uwezo wa kumsajili mchezaji mpaka wa USD 5m,hela kwake haiwezi kuwa tatizo. Waarab mpira wana ucheza nje na ndani ndio tabia zao.
 
Wydad pesa kwake sio tatizo, timu ina uwezo wa kumsajili mchezaji mpaka wa USD 5m,hela kwake haiwezi kuwa tatizo. Waarab mpira wana ucheza nje na ndani ndio tabia zao.
Wameshapotea na kosa lao kubwa ni kukubali kufungwa na Galaxy kule Morocco hilo watajutia sana. Fitina unaweza icheza kwako ila sio nyumbani kwa mwenzio na isitoshe utegemee mgongo wa mwenzio ndio ukufanyie mtelemko.. wanaoweza ku deal nao ni refa pekee ila sio wachezaji wa Galaxy kwasababu wao ili wambebe Wydad ni lazima wapambane ndani ya uwanja na hapo ndipo aliyebora ndiye atakayetoka kifua mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…