Pre GE2025 Gambo atoa Milioni 2 kulipia kodi ya chama cha bodaboda, awanunulia pia TV wafuatilie matukio duniani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025.

Hatua hiyo imekuja baada ya kukutana na viongozi wa waendesha bodaboda na kujadiliana changamoto wanazopitia katika shughuli zao za kila siku. Gambo amesema changamoto ya kodi ya ofisi ilihitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka kero kwa waendesha bodaboda.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mbali na mchango huo wa fedha, Gambo pia amekabidhi televisheni ya inchi 32 kwa ofisi ya chama cha bodaboda ili waendesha bodaboda waweze kufuatilia matukio mbalimbali yanayoendelea duniani. Vilevile, ametoa viti vya ofisini kwa ajili ya kuboresha mazingira yao ya kazi.
 
KUJIPENDEKEZA KWA WAPIGA KURA

RUSHWA
 
Kwan zile million 400 alizopora za bodaboda alipeleka wap leo anatoa tumilion mbili wakat aliwapola 400 watz ni mafwala
 
Hivi sasa hata ukiwataka wabunge wafue boksa, watafua tu, maana wanabembeleza wapiga kura.
 
Wakuu,

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025.

Hatua hiyo imekuja baada ya kukutana na viongozi wa waendesha bodaboda na kujadiliana changamoto wanazopitia katika shughuli zao za kila siku. Gambo amesema changamoto ya kodi ya ofisi ilihitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka kero kwa waendesha bodaboda.

Mbali na mchango huo wa fedha, Gambo pia amekabidhi televisheni ya inchi 32 kwa ofisi ya chama cha bodaboda ili waendesha bodaboda waweze kufuatilia matukio mbalimbali yanayoendelea duniani. Vilevile, ametoa viti vya ofisini kwa ajili ya kuboresha mazingira yao ya kazi.
Wanasiasa wa bongo na rushwa ndogo ndogo
 
Gambo ule msala wa kupiga M 400 za hao bodaboda aliumaliza vipi?
 
Wakuu,

View attachment 3162057

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025.

Hatua hiyo imekuja baada ya kukutana na viongozi wa waendesha bodaboda na kujadiliana changamoto wanazopitia katika shughuli zao za kila siku. Gambo amesema changamoto ya kodi ya ofisi ilihitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka kero kwa waendesha bodaboda.

Mbali na mchango huo wa fedha, Gambo pia amekabidhi televisheni ya inchi 32 kwa ofisi ya chama cha bodaboda ili waendesha bodaboda waweze kufuatilia matukio mbalimbali yanayoendelea duniani. Vilevile, ametoa viti vya ofisini kwa ajili ya kuboresha mazingira yao ya kazi.
Ametoa kwenye fungu gani?????
Kazi za mbunge ni pamoja na kunua TV kwa wapiga KURA?
 
Back
Top Bottom