Acha MUNGU aitwe MUNGUHuo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
Agiza kinywaji nakuja ku-clear biliHuo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
watu wanag'ang'ania kujiudhuru kama vile ni rahis kihivyo! kama vile hawana familia. kama vile unajihudhuru na kuhama nchi.Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
KUJIUDHURU sio KUJIHUDHURUwatu wanag'ang'ania kujihudhuru kama vile ni rahis kihivyo! kama vile hawana familia. kama vile unajihudhuru na kuhama nchi.
Inaweza kuwa njia ya kujimaliza hadi uhai wenyewe. njia waliochagua ya kuishi na adui ni bora na sahihi zaid ili umpige kichwa vizur au upate kuishi.
Utakuwa na shida kichwani wewe, googleKwahiyo Bashite nae alifukuzwa??
Alaf ale wapiWhy hakujiuzulu
Wewe ndiyo mwenye shida unatuletea matakataka mnayojadiliana na watoto wenzako kwenye group lenu la VIKOBA hukoUtakuwa na shida kichwani wewe, google
KabisaHaiwezekani... there's something somewhere not right.
Endelea kuishi kwa shemeji yako mpuuzi weweWewe ndiyo mwenye shida unatuletea matakataka mnayojadiliana na watoto wenzako kwenye group lenu la VIKOBA huko
Wana leta siasa za wazungu, kwanza wao hawana njaa, na hata ukijiuruzu hakuna kisasi!!sasa hapa ujiudhuru upate sifa za kijinga, kesho yakukute ya kukukuta hawana msaada na wewe!!watu wanag'ang'ania kujihudhuru kama vile ni rahis kihivyo! kama vile hawana familia. kama vile unajihudhuru na kuhama nchi.
Inaweza kuwa njia ya kujimaliza hadi uhai wenyewe. njia waliochagua ya kuishi na adui ni bora na sahihi zaid ili umpige kichwa vizur au upate kuishi.
Nina 50+ yrs sidhani Kama kwenu kuna mtu mwenye umri huo anaishi kwa shemeji yake,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji23]Nina wajukuu wawili ujueEndelea kuishi kwa shemeji yako mpuuzi wewe
Tunakoelekea huyu atahamia chadema ili ateme nyongo vizuri"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Alikuwa hana hela ya kuhama nchiMjinga sana, kwanini hakujiuzulu?
Watajieleza wote maana hakuna jisi, watafichua mpaka siri za ndani"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Not that simple. Kujiuzulu nako ingekuwa kuwasha moto.Why hakujiuzulu