LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi!

Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo.

"Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel yote yale, ilibidi mpaka tumtume mtu akamtumia ujumbe mke wake ili kumkumbushe ajiandikishe. Hamasa yetu imefanikiwa, maana mpaka tumeweza kumshawishi Lema japo haikuwa kirahisi."



Pia soma:
LGE2024 - News Alert: - Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
 
Gambo na Lema hizi ndiyo siasa..utani sometimes uwepo.
 
Gambo ni shida sana. Huyu anafaa kuwa mrithi wa Mpoki pale Ze Komedi.
 
Back
Top Bottom