johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katambi na Gwajima. Katambi atunze kiinua mgongo asijaribu kutumia kugombea.Kati ya wabunge ambao hawatarudi bungeni ni pamoja na Gambo na Waitara
Ngoja tuoneπΌMakonda atamuacha mbali sana yule msaga kunguni....yule gambo ni mswahili sana na mtu wa fitina hana issue
Usimchukulie poa kapita JKT yuleHalima mdee CCM hawezi kupata kura 3
CCM sio JKT LakiniUsimchukulie poa kapita JKT yule
Tukupe orodha Ili iweje!?La mgambo limeshalia japo siyo official
Chadema tupeni orodha yenu mapema
Ahsanteni sana π
JKT Kuna Uzalendo UliotukukaCCM sio JKT Lakini