Pre GE2025 Gambo: Wapinzani wamependekeza sheria za Uchaguzi zirekebishwe, tumewapa miswada nasi bungeni tutaipitisha ili tuwaone 2025 Watalia tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa

Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni

Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo

Source: Clouds TV
 
STUPID
 
ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpya
 
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa

Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni

Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo

Source: Clouds TV
Gambo anaomba huruma ya wana Arusha lakini iwayo yote hawatamwacha salama lazima wamfilimbe!
 
Hivi inakuwaje jiji muhimu kama Arusha linakuwa na mbunge mwenye mawazo ya kijinga kama haya?

Tuna Safari ndefu sana.
Mimi nakulbalia naye kwa 100 wapinzani wa Afrika hawajawwhi kukubali matokeo hata pale uchaguzi unapokuwa clear , mfano Kenya
 
Back
Top Bottom