johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
STUPIDMbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni
Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo
Source: Clouds TV
Ndio hayo marekebisho na maoni mliyotoa Juzi na JanaAnajua maana ya kurekebisha...??
Wao badala ya kurekebisha wanatengeneza makosa mengine tena...
Yanaratibishwaje...Ndio hayo marekebisho na maoni mliyotoa Juzi na Jana
ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpyaMbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni
Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo
Source: Clouds TV
Kabisa, ule mkutano wa Jana ilikuwa ni kuhalalisha uhuni waliopanga kuufanya.ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpya
Gambo anaomba huruma ya wana Arusha lakini iwayo yote hawatamwacha salama lazima wamfilimbe!Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni
Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo
Source: Clouds TV
Bw.Mkubwa huyu ile nia ya kubadilisha dini bado anayo....????Hivi inakuwaje jiji muhimu kama Arusha linakuwa na mbunge mwenye mawazo ya kijinga kama haya?
Tuna Safari ndefu sana.
Ni mshirikina haswa huyo mrangiHivi inakuwaje jiji muhimu kama Arusha linakuwa na mbunge mwenye mawazo ya kijinga kama haya?
Tuna Safari ndefu sana.
Amebaki na ushirikina pekeeBw.Mkubwa huyu ile nia ya kubadilisha dini bado anayo....????
Hilo analijua snGambo anaomba huruma ya wana Arusha lakini iwayo yote hawatamwacha salama lazima wamfilimbe!
Hakuna mtu Arusha anataka mtu mjinga kama GamboYee mwenyewe atapita
Amalizane na vita yake
Ya ndani huko
Ova
Na kupiga pesa ya ummaKabisa, ule mkutano wa Jana ilikuwa ni kuhalalisha uhuni waliopanga kuufanya.
Mimi nakulbalia naye kwa 100 wapinzani wa Afrika hawajawwhi kukubali matokeo hata pale uchaguzi unapokuwa clear , mfano KenyaHivi inakuwaje jiji muhimu kama Arusha linakuwa na mbunge mwenye mawazo ya kijinga kama haya?
Tuna Safari ndefu sana.