Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Game za ku boost IQ na kufanya ubongo wako uwe sharp, smart and active
 
Farm Hero Saga nilifika level ya 2500, ikaja kupotea nilivyobadili simu. Sikuwahi jua kama kuna jinsi ya kusave progress.
Nimeanza upya nipo level ya 1600.

Diamond Diaries nayo nilipoteza levels 2500 kwasababu sikujua kusave progress. Sahivi nipo level ya 300 na kitu.
 
Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza,
Hizi game zangu kwenye simu na hizi level zangu
8 ball pool ,veteran level 59.
Toon blast!/chest leve 2280
Candy crush Saga
Subway surfers
Princess surfer
dream league elite division nimemaliza
 
Ya kwanza niliishia level ya 800+, ya pili nikaishia level ya 790 hivii, hii ni ya tatu nimeanza June na nacheza kwa kusua sua sana pia.
Ukiwa umejiunga na fb hata ukifuta au ukibadili simu unaenelea ulipoishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…