Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Waziri anazurura na klabu ya soka utadhani kit manager huku majukumu yake ya msingi yanamshinda halafu unawaambia mashabiki wa Simba wajue mipaka yao?Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka.
Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni ngumu/haiwezekani CAF kubadilisha maamuzi ila waliamua kuingiza chaka mashabiki zao kwa kufanya mazoea.
Na sisi mashabiki tupunguze hisia kwa hizi timu ni muhimu kujua mipaka yetu na Sheri’s za CAF ili kupunguza mazoea kwa viongozi wetu
NB:Na hii ni fainali ya Afrika, sio mechi ya ligi.
Visit NDANDA
Unaandika vitu vya hisia bila utafiti,hao bercane Wana UWANJA?Jenga kiwanja chako kwanza.. kama azam ama tp mazembe kisha ndio ufosi mechi ichezwe kwenye uwanja wako. Ila sio sahihi kuita uwanja uliojengwa na mwenzako kudai ni wako mechi ichezwe hapo