Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Dec 18, 2010 #2 Mbuzi kaona aibu. Huyu bata huyuuuuuuuu! Haachi watoto wakalala!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Dec 18, 2010 #3 Hapo kangekuwa katoto ka mbwa ndio hao bata wangepata raha yao.....
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,145 Dec 18, 2010 #4 halaf huyo mbuzi inaonesha kapanda mdadi baada kula chabo, si unaona anavyovuta spidi ya kwenda kumbaka yule kule pembeni ambae yuko species moja na yeye.
halaf huyo mbuzi inaonesha kapanda mdadi baada kula chabo, si unaona anavyovuta spidi ya kwenda kumbaka yule kule pembeni ambae yuko species moja na yeye.