Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Wakuu habari zenu!
Nimeona kuleta hili kwenu kwa maana nipo nacheck movie ya marehemu bluce lee inaitwa game of death
Sasa katika hii movie bluce kuna sehemu alikuwa location anafanya scene ya movie harafu kuna jamaa kama wana bunduki flani ila wakawapa risasi za bandia ila kuna mmoja huyo alipewa akaweka ya bandia mfukoni akatoa risasi ya ukweli
Scene waliposema action jamaa akapiga ikampata bluce usoni harafu mpigaji akatoweka
Twende kwenye mada katika kucheza hii movie ni kwamba walionyesha kama kafariki wanatoa jeneza lake na watu wamejaa balaa barabarani lakini ukiangalia vizuri ile movie ni kama mazishi ya kifo chake kilivyotokea yani kama kwenye movie vile vile sasa sijajua jamaa inawezekana alijitabiria itakuwa hivyo au laah
Wenye mawazo tofauti mnaweza kuleta ya kwenu tujadili pamoja.