Game store kama wanafungasha virago vile

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Nmepita pale Leo ..shelf nyingi zipo wazi hazina bidhaa..huenda jamaa wanafunga virago kimya kimya
 
Purchasing power ipo chini sana, na hii ni kutokana na tangu kuingia awamu ya tano watumishi hawakupandishwa mishahara na madaraja na pia ajira mpya ni kama zilisimama na hivyo kushuka kwa shughuli za biashara na mzunguko wa pesa. Watu wengi hasa watumishi walipunguza kufanya matumizi na kubaki na matumizi yale ya muhimu hasa kununua chakula.............hili liko wazi kabisa hata kwa sisi laymen wa mambo ya uchumi. Nilichogundua hizo supermarket zinafurika si zaidi ya siku tano baada ya serikali kulipa mishahara, baada ya hapo wateja ni wa kuhesabu, na hii pia ipo kwa maduka mengine mitaani...........​
 
No hawafungashi, imeuzwa kwa 100%. Wamiliki wapya i think ni walmart ambao walikua na shares kiasi kwa Game Africa but now they own it na wanaibadilisha, haitaitwa Game tena, but it comes something bigger than Game was. Si hio tu, Game zote Africa zimeuzwa na zitabidilishwa jina.Ni vile wataondoa everything kwanza na kuweka everything new from type of shelves to staffs to products to service. Stay tunned.
 
Hamna game store Africa nzima zinazouzwa. Unatakiwa kusema game store za East africa na west africa ndizo zinazouzwa.
Game stores 14 zinapatikana Ghana, south africa, kenya ,Tanzania, Nigeria na Uganda kama sikosei. Hizo zinafungwa. Na hizi zinamilikiwa na jamaa wanaitwa massmart ndio walifunguaga bongo . Sasa walmart walinunua kweli majority shares ila waeona demand ni ndogo. Kwenye shops hizi. Sasa wanachotaka kufanya ni kumilikisha maduka hayo kwa retailers. Ndio mpango uliokuwepo. Yaani wasifanye wao. Wao wamiliki majengo. Biashara hata mtanzania afanye. Moja ya move ni kumpangisha pale yule WC WAIKIKI kama sijakosea jina na wengine wengi wataachiwa maduka kama wale wengine.
 
well maybe you are right somehow, but know that Game Africa yooooote imeuzwa and that for a fact, is just i cant attach something here for confidentiality, unless useme zingine hazitachange majina, White south Africans (kabulu) they dont own at all, and Massmart is Walmat my friend, and walmart own a lot of major.bigger retail stores in the world, na zile hutumia massdiscount, thats why hata Game ikaachwa kuitwa store in papers ikaitwa Game Massdiscount World hiyo store ikabaki tu kama imezoeleka.Now Walmat wanaiown yote but few of them zitabadilishwa Majina.

Pia Hiyo waikiki umeitaja is Called LC WAIKIKI ni very big French shop za nguo more than Mr price or splash, well but all is good since haikua inafanya poa because of some issues, now as they change things itakua ok.
 
Watanzania hatuna desturi ya kununua mahitaji yetu supamaketi, tumezoea nipimie robo unga, robo sukari na robo mchele.
Ndo hiki nilichoongelea hapo juu, yaani uwezo wa kununua (purchasing power) ni duni kwa asilimia kubwa ya watanzania..........the so called wanyonge.
 
Walishaanza kuondoka kitambo baada ya Nakumart kuondoka na wengine walianza kuondoka zao
NAKUMATT hakuondolewa,hakuondoka Bali alifilisika nasio Tanzania tuu n kuanzia huko alipotoka Kenya n wahindi au wakikuyu waliochangamka walishindwa kumanage Biashara wakaangukia pua.

UCHUMI SUPERMARKET hawa pia hawakufukuzwa, Bali walitoroka nchi hiki kilikuwa n kikundi Cha matapeli na Wala starehe kutoka Kenya kimewaingiza mkenge NSSF na bank zingine za ndani Ila waliomia zaid n supplies na wafanyakazi waliachwa kwenye sintofahamu kubwa Sana.

GAME STORE Hawa awali walikuwa n makaburu waliokuwa wanapambana na SHOPPRITE uagizaji wa Bidhaa hawakutegemea local supplier Bali walikuwa Wana import vitu kutoka kwenye source zao muhimu na mizigo mingi ya Tanzania ulikuwa inatoka South Africa. Hata mmiliki mpya WALMART Kupitia kampuni nyingine ya kibiashara MASSMART ndio aliendesha hii biashara kwa miaka Kama 10 nyuma.
Kuingiza Bidhaa kutoka upande wa kusini mwa Afrika kumekuwa changamoto hasa baada ya KORONA pia sehemu ya Biashara Yani basement ya hii biashara South Africa walikuwa na matatizo mengi sababu ya Lock down hvyo expiries, kulipa watu wasio kuwa kazin na uvamizi wa maduka huo nao ulichangia hili swala la TZ.

SHOPPERS SUPERMARKET hawa wanajitahidi kuongeza maduka Ila mwendo wao n wa Kobe Mana wakubwa wote, na wapinzani wake wote walishaondoka alitakiwa achukue zile outlets walizoacha wapinzani wake naye aendekeleze.

KWANINI HAWAKUI HARAKA AU KUFUNGA BIASHARA
Baada ya serikali kumruhusu mchina aanze kuuza vitu mtaani 2010-2011 mali zao zilikuwa ngumu kununuliwa na haziaminiki japo ilkua rahisi Sasa ili wauze wakaleta kitu kinaitwa CREDIT NOTE hii Sasa wafanyabiashara watanzania wakaichamkia kuanzia kwa mangi(kiosk) mpaka Distribution company.
Yaan umependa Mali chukua utanlipa baada ya wiki hii Sasa ikaja wachanganya wahindi maana wao ili n CASH BUSINESS Mambo ikawa ngumu mnunuzi akapata akili ya kupata mzigo hata bila yakuwa na na pesa wahindi wakaingia mkenge nao wakaleta CREDIT NOTE sasa kipindi hcho ndo wajasiriamali wanaaza kuwa wengi na SUPERMARKET zinaongezeka mikataba ya Kati ya SUPPLIER na SUPERMARKET ikawa

1. GAME STORE 30days after invoice

2. NAKUMATT 30days after invoice

3. SHOPPERS 45day after invoice

4. UCHUMI SUPERMARKET 60days after delivery

Na hapo Kama huna mtu mzuri wa mauzo na kufatilia madeni lazima ulie nakumbuka kipindi hicho nilikuwa mwajiriwa sehemu na tulikuwa tunasupply zaidi ya 700m a month kwa maduka yote hayo huku UCHUMI na NAKUMATT zikiwa na zaidi ya 85% ya pesa zote hzo Ila sikuacha Deni mpaka naondoka pale na walinikumbuka baada ya mie kuondoka Mana walilizwa.

Biashara nyingi za Tanzania zinafanya vizuri kwa maana ya shelf kujaa Ila zinakufa muda mchache baada ya kuanza kuchukua Mali kwa CREDIT unakuta dukani kumejaa Ila nusu ya Mali n Deni Sasa hapo mwenye Mali akija kuchuka Mali yake utabaki na nn?

Ukifanya Biashara usikopeshe, na usikope Mali kopa pesa bank unayoimudu utatoboa.
 
umeeleza vizuri..maana wajasiriamali wengi sana walilizwa na UCHUMI supermarket..maana walisepa na madeni ya watu
 
No hawafungashi, imeuzwa kwa 100%. Wamiliki wapya i think ni walmart ambao walikua na shares kiasi kwa Game Africa but now they own it na wanaibadilisha, haitaitwa Game tena, but it comes something bigger than Game was. Si hio tu, Game zote Africa zimeuzwa na zitabidilishwa jina.Ni vile wataondoa everything kwanza na kuweka everything new from type of shelves to staffs to products to service. Stay tunned.
Nazitamani zile shelfu zao....
 
Back
Top Bottom