Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
Hilo half life linahusu nini mkuuHizi game zinakubali hata kama computer yako ina RAM chini ya mb 200
1. Half life 2
2. NFS Underground 2
3. Far Cry
4. Doom 3
5. Zuma's Revenge
first person shooter, kuna kuendesha vifaa, kuua watu, kuua wadudu, kulipua ndege, kulipua vifaru, kutumia fiziksi, kuna jamaa youtube amelicheza lote mfululizo tafuta half life 2 full walkthrough utaona. Ni kama vile unacheza game kwenye computer kubwa au ps4Hilo half life linahusu nini mkuu
Jaribu mudrunner mobile playstoreIGI 1 & 2
THE HOUSE OF THE DEAD 2
GTA VICE CITY
MORTAL KOMBAT 4
MIDTOWN MADNESS
CRAZY TAXI
Zote ukiwa na ram 512MB utaenjoy tu.
Ila wataalam tuko hapa
GTA V
CYBERPUNK 2077
RED DEAD REDEMPTION 2
kuna game 1 hivi ni la kizamani nalitafuta sana kama litapatikana itakuwa njema sana, linaitwa GOBMAN kama sijakoseaHizi game zinakubali hata kama computer yako ina RAM chini ya mb 200
1. Half life 2
2. NFS Underground 2
3. Far Cry
4. Doom 3
5. Zuma's Revenge
half life 2 ni game la karne, engine yake ndio iliotumika kutengenezea counterstrike na game nyingine zote za ValveMagemu gani hayo, hayana hata mvuto
Cyberpunk 2077 washatoa update?IGI 1 & 2
THE HOUSE OF THE DEAD 2
GTA VICE CITY
MORTAL KOMBAT 4
MIDTOWN MADNESS
CRAZY TAXI
Zote ukiwa na ram 512MB utaenjoy tu.
Ila wataalam tuko hapa
GTA V
CYBERPUNK 2077
RED DEAD REDEMPTION 2
Cyberpunk 2077 washatoa update?
Ngoja nirudie game yao ya "The Witcher 3" wakat nasubiri updateBado. Hao jamaa wanazingua sana, Lile game wamewahisha kurelease kabla hata halijakamilika.