Game tumeshaimaliza. Simba analala kesho. Tunamgonga kama kawaida yetu. Kama sivyo nifanywe hivi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Safi sana.....

Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi. Tumewaacha jamaa waendelee.

Uhakika upo. Simba ni kama mti embe wa uwani. Unajichumia tu embe unakula muda wowote au kama demu wa uswahilini uki mmiss unamwita tu unajigongea unampa 2,000 anaondoka.

Mimi nipo hapa. Yanga IKIFUNGWA NA SIMBA NIPIGWE BAN YA WEEK NZIMA. Simba atakuwa huyu mbwa koko? Acheni masikhara nyie. Kama si hivyo nifanywe kufungiwa week nzima. Tena nipigwe ban kali hata nisipewe demu wa kunipoza.

Maana tumekubaliana na Demu wangu nikishinda basi namfanya chochote nitakacho. Na nikifungwa mimi Yanga sipewi undani kwa week nzima.
 
labda mloge tena kama kawaida yenu 😛 😛
 
Adhabu ya kufungiwa hapa jf haitoshi kwa uwongo uliotuambia, toa ahadi nyingine ambayo itakufanya uikumbuke kila muda namna ulivyotendewa.
Waambie tu masela wakufanye nini, uto mkipunyuliwa?
 
Kuloga! Na unakuja humu ukijisifu kabisa.

Na unajiita unaujua mpira.

Hao maUstaadhi Ni wachawi kumbe!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…