GAME YA LEO CCL NI FINAL YA KUNDI D MNYAMA HACHOMOKI

Wasalaam

Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.

Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumuombee mnyama kwa Mungu ili ashinde, lakini Kupambana na vita ni VITA kwelikweli. Uphill task.
 
Mungu awe pamoja nanyi as vital mtakapoingia uwanjani awape wepes wa kushinda mechi hii!!! Kila la heri as vital.
 
Wasalaam

Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.

Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hao Vita wasingekuwa wakuaga mashindano haya basi sasa hivi wangeshafuzu kwa kuwa wangekuwa wanaongoza msimamo lakini hadi hapo hawajui hatma yao, Tusibeze tu kiushabiki kila timu kwenye hatua hii ni bora ndo maana timu zote nne zina nafasi ya kusonga mbele..
All the best Simba!!

Karibu tena saa tatu usku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom