Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hao Vita wasingekuwa wakuaga mashindano haya basi sasa hivi wangeshafuzu kwa kuwa wangekuwa wanaongoza msimamo lakini hadi hapo hawajui hatma yao, Tusibeze tu kiushabiki kila timu kwenye hatua hii ni bora ndo maana timu zote nne zina nafasi ya kusonga mbele..Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena saa tatu uskuKama hao Vita wasingekuwa wakuaga mashindano haya basi sasa hivi wangeshafuzu kwa kuwa wangekuwa wanaongoza msimamo lakini hadi hapo hawajui hatma yao, Tusibeze tu kiushabiki kila timu kwenye hatua hii ni bora ndo maana timu zote nne zina nafasi ya kusonga mbele..
All the best Simba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ukae kimya wanaume watakuwa wanaonyeshana umwamba Taifa na wavulana watakuwa wanaosha vyombo IRINGA huko
Shangingi upo????Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu YakoWasalaam