GAME YA LEO CCL NI FINAL YA KUNDI D MNYAMA HACHOMOKI

Mleta mada katekwa na watu wasiojulikana

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Habari yako[emoji23][emoji23][emoji23]

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Mungu awe pamoja nanyi as vital mtakapoingia uwanjani awape wepes wa kushinda mechi hii!!! Kila la heri as vital.
Hahahhahahahahah mjitaidi katika ligi tumeamua tuwabebe na nyinyi japo wanafiki maana mmehamia nchi kibao.
 
Reactions: Tui
Mbona mnakimbia thread zenu vyura, rudini huku lipuli 1-1 yanga

zahera karudisha
Huwezi kuwaona mbwa utawaona binadamu tuu, wana uwezo wa kufikiri, na kuweka akiba ya maneno
 
Vyura Munapaswa kujua kuwa Mungu wa Kwamchina Daima yupo Pamoja na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…